Mark 2:27-28

27 aKisha Isa akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato. 28 bHivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”
Copyright information for SwhKC